Kiswahili

Ramani Yanyakati

“Landike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, 

ili aisomae apate kuisoma kama maji.”   HABAKUKI 2:2

Chart

RAMANI YANYAKATI

HUFAFANUA MPANGOWA MUNGUWA KULETA WANAWE WENGI KWENYE UTUKUFU, NA KUSUDI LAKE

“…ili kuleta madarka ya wakati mkamilifu atavijumlisha vitu vyote katika Kristo, vitu vya mbinguni na vitu vya duniani pia. Naam, katika yeye huyo.”—Efe 1:10

 

 

Mpango Wa Mungu Wa Nyakati

 

Maelezo ya ramani ya nyakati nyakati 
(Majira na vipindi)

CHDispensationsA.gif (9253 bytes)

                                                                                          Return to Chart at Top of Page

 

A

Ulimwengu uliyokuwapo
 – maongozi ya kwanza ya Mungu

2 Petro 3:6
Mwa. 6:11-13

 

 

Flood

 

Mwa. 6-8

B

Ulimwengu mwovu wa sasa  — maongozi ya pili ya Mungu

Gal. 1:4
Mal. 3:15

C

Ulimwengu ujao
 —maongozi ya Mungu ya tatu

Waeb 2:5
2 Petro 3:13
Efeso 1:10

D

Enzi ya wazee/mababu

Mdo. 7:8

E

Enzi ya Wayahudi

Kumb. 7:6
Zab. 147:19-20

F

Kizazi cha Injili 

Mk. 1:14-15
Mt. 24:14
Mdo. 15:14 
G

Nyakati za Masihi 

1 Kor. 15:25
Ufu. 20:1-6 
H

Nyakati zijazo 

Efeso 2:7 
Efeso 3:21

f

Nyakati za dhiki ya Israeli katika mavuno ya wayahudi; kutengwa kwa ngano na kapi.

  Luka 3:16-17  
S

Wakati wa dhiki ya ulimwengu katika mavuno ya Injili, kutengwa kwa ngano na magugu.

Ufu. 14:15, 18
Mt. 13:30, 38-40 
T

Wakati mfupi wa shetani: 
kutengwa kwa kondoo na mbuzi.

Mt. 25:31-32
Ufu. 20:7-10, 14-15
1 Kor. 15:26

 

 VIWANGO 
(Hatua za kuelekea kwenye utukufu)

                                                                                         Return to Chart at Top of Page

 

K

Hali ya kiwango cha utukufu 
na uwezo wa kiungu.

Wfl. 2:9-11 
Ufu. 3:21 

L

1 Johane 3:2
Johane 3:8 

M

Hali ya kufanyika mwana 
wa kiroho.
 

1 Pet. 1:3-4
Rom. 12:1 

N

Kiwango cha kupokea kibali 
kutoka kwa Mungu 
(kwa wanadamu).
 

Yak. 2:23, 
Rom. 5:8-9, 19

P

Kiwango cha kibali cha 
Mungu kwa mifano.

Waeb. 9:7-10  
Law. 16:30 

R

Hali ya dhambi na uovu.

Rom. 5:12
Isaia 64:6 
Rom. 3:10 

 

PIRAMIDI 
(Vyeo vya watu).

                                                                                         Return to Chart at Top of Page

 

a

Adamu katika ukamlifu

Mwa. 1:27, 31 

b

Adamu aliyeanguka na uzao 
wake kabla ya ile gharika

Mwa. 6:5

c

Wastahili wa zamani kama 
mtu binafsi

Waeb 11
Rom. 4:2-3 

Ezek. 14:20
d

Wanadamu kutoka wakati 
wa gharika hadi 
Wakati wa Masihi.

I Yoh. 5:19
Rom. 5:12

e

Israeli ya kimwili ikihesabiwa 
haki kwa kimfano kama taifa

Waeb 10:1
Law. 16:33-34 

 

KRISTO

                                                                                        Return to Chart at Top of Page

 

g

Yesu akiwa na umri wa 
miaka 30 mtu mkamilifu.

Waeb 10:5
Johane 1:29-32 

h

Yesu afanyika mwana wa 
kiroho katika mto Yordani.

Waeb. 4:15
Math. 3:13-17 

i

Yesu afufuka akiwa kiumbe 
cha kiungu

Yoh. 5:26
Math. 28:18 

k

Yesu siku 40 baada ya kufufuka, 
katika utukufu wa kiungu.

Mdo 1:9
Waeb. 9:24

l

Yesu katika Nyakati za Injili aketi 
pamoja na Baba katika kiti cha enzi.

Waeb. 6:20
Ufu. 3:21

 

WAKRISTO KATIKA NYAKATI ZA INJILI

                                                                                          Return to Chart at Top of Page

 

m

Cheo cha waliozaliwa kwa roho wafanyikao lile Kundi Kubwa.

1 Kor. 3:11,15

n

Cheo cha waliozaliwa kwa roho wafanyikao Bibi Arusi wa Kristo.

Rom. 12:1-2
1 Petro 2:9-10
Gal. 5:22-25

p

 

 

 

Waumini, wala hawakuwa 
wakfu kikamilifu.

Mk. 9:41
Mdo. 26:27-28
Mt. 22:14  

q

 

 

 

“Mbwa mwitu katika ngozi ya kondoo huenda kanisa lakini sio waumini; wanafiki.

Zek. 11:16
Mt. 7:15 
Mt. 15:8-9

       
       
       

 

WAKATI WA MAVUNO YAINJILI.

                                                                                       Return to Chart at Top of Page

 

r

Yesu katika kuja Kwake 
kwa Pili.

Yoh. 14:1 
1 The. 4:16

s

Kundi Ndogo, 
kujitenga na Babiloni

Ufu. 18:1-5 
1 The. 4:16-17

t

Umati Mkuu, 
wakosa kupata dhawabu kuu.

Mt. 25:1-3, 5-8, 11-12
1 Kor. 3:13, 15 

u

Babiloni, sehemu kubwa ya 
madhehebu yaanguka: 
wengine wabaki kiwango N, 
wengine waanguka
chini yake.

Ufu. 3:15 
Ufu. 16:19

v

Babiloni, idadi fulani ya madhehebu, waanguka hadi kiwango R na wasioamini.

Ufu. 18:2  
Mt. 24:48 

w

Kristo aliyetukuzwa, 
kichwa na mwili.

Ufu. 19:7-8
Ufu. 21:2

 

MILKI YA MIAKAELFU.

                                                                                      Return to Chart at Top of Page

 

x

Cheo cha Kristo 
aliyetukuzwa akitawala.

Yuda 14-15
Ufu. 3:21
Ufu. 20:4-6
y

Cheo cha ule Umati Mkubwa.

Ezek. 44:10-14
Ufu.
7:9-10, 13-17 
Ufu. 19:1

z

Israeli wa kimwili warejeshwa 
kwa umaarufu.
 

Rom. 11:25-29  
Zek. 8:13-23

W

Wanadamu warejeshwa kwa ukamilifu na 
uwiano na Mungu.

Ufu. 21:1-4
Isa. 35

 

 Mpango Wa Mungu Wa Nyakati

 

Send E-Mail

 

Mail Address:

TRUTH SERVICE CENTRE

P.O. BOX 86

MOSORIOT

KENYA

 

CD “For This Cause,” kwa Kiswahili

CD “Lord’s Supper” zapatikana/ tuandikie.